Router ya Nokia Fastmile 5G

Mwasapile

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
214
Reaction score
448
Habari wana JF,
Kuna mtu anatumia router ya NOKIA kwenye huduma ya supakasi atuambie perfomance yake ukilinganisha na routers nyingine!?
 
Speed ni ile ile utakadiriwa na provider wako, router labda ulimaanisha coverage area.
 
Kuna routers nyingine ukiwa kwenye eneo ambalo network haipo stable zinazingua sana ila zingine zinaperform vizuri, Sasa waliowahi tumia hii wanasemaje!
 
Na mi nasubiri wadau walete majibu zaidi nisaidike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…