lucky_boy
Senior Member
- Aug 9, 2017
- 117
- 231
Wakuu naomba kujua kama mada inavojieleza, sitaki kuingia mkenge natamani sana kununua router hii ya 5G inayotangazwa sana mitandaoni. Nimeshaongea na baadhi ya wafanya biashara hiyo sijaridhika, sasa nataka kupata neno kwa aliyebahatika kuzitumia.
Ni kwa matumizi binafsi lakini hapo mbeleni natarajia kuanzisha huduma ya kuunganisha watu internet/wifi kwa eneo nililopo
Karibuni kwa maoni wakuu
Ni kwa matumizi binafsi lakini hapo mbeleni natarajia kuanzisha huduma ya kuunganisha watu internet/wifi kwa eneo nililopo
Karibuni kwa maoni wakuu