Mrejesho mzuri sana 🤝🏾So far so good...napata 8-9.8mbps ..devices zote home including mobile phones, laptops na tv zinastream poa TU. Hakikisha eneo ulipo Kuna 5g coverage.
Pia it's mobile.. naweza kwenda nayo ofisin kama watumiaji home hawapo...Kuna kapower bank kanasupport several hours pakiwa hakuna umeme.
So far I can't complain.
Thanks for your feedbackLast time i had fiber internet ya . 59,000 per month 20mbps. its cheaper and faster.
Changamoto ni downtime kuwa nyingi in a week hukosi 3-5 downtime. Mara mti umeangukia cable ..mara gari imegonga nguzo. And it takes masaa kadhaa kuwa fixed.
Pia haiko mobile..so you need kulipia fiber either home au ofisini..pia uwe na alternative ukiwa nje ya office.
Hizi router nadhani its a better option.
Hii ya Airtel ni huawei au Nokia?Wakuu naomba kujua kama mada inavojieleza, sitaki kuingia mkenge natamani sana kununua router hii ya 5G inayotangazwa sana mitandaoni. Nimeshaongea na baadhi ya wafanya biashara hiyo sijaridhika, sasa nataka kupata neno kwa aliyebahatika kuzitumia.
Ni kwa matumizi binafsi lakini hapo mbeleni natarajia kuanzisha huduma ya kuunganisha watu internet/wifi kwa eneo nililopo
Karibuni kwa maoni wakuu
View attachment 3066025