Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router
Nina Smart TV yenye kuingia YouTube, simu janja ya kwangu, mke na wanandugu watatu (Simu 5). Pia Computer, CPU mbili kwa ajili ya kazi zangu za kiofisi hapa nyumbani. Nilikuwa naelekea kununua Router ya 5G kutoka Airtel, katika pekenyua yangu ya hapa na pale mtandaoni, nikagundua kuwa zina madhaifu yake hasa hasa pale utakapofanya uploads za mara kwa mara. Hizo 2mbps sidhani kama zitaweza kuswitch devices mentioned above
Lakini kuna mdau kaniambia nikachukue Router ya TTCL, naombeni ushauri wenu kuhusu hili mkihusisha upatikanaji, ufanisi, gharama za kuanzia, pamoja na gharama za kila mwezi
Ni hayo tu, Ahsanteni