Router za TTCL

mie nilichofanya ni kununua simu smart ambayo naifanya kama router kwa kuwasha hotspot then naunga bundle UNLIMITED lile la Mwaka... natumia TTCL nina laini 2... special number
Kwa mwenzio unlimited Bei gan
 
Wakuu ukisahau password ya hii router ya Ttcl unatakiwa ufanye nini kureset? I mean ile page ya kulogin kwenye mfumo ambayo default huwa user user.

Chief-Mkwawa
 
superuser superuser kama wamebadili ni hadi uwasiliane nao.
Shukrani kaka ngoja nijaribu.

Kuhusu kuwasiliana nao nilijaribu. Changamoto huku mikoani wanatuonaje sijui, maana nataka nifanye settings za mac filtering wao wanasema ntakorosha. Ni kitu nnachofanya miaka na miaka isipokuwa safari hii kuna dogo nlimuachia ofisi ndie aliyebadili password na haelewi.
 
TTCL ndio zao hizo, wanakufanya kama mtoto eti utaharibu, walitakiwa tu kutupa details zetu wenyewe hata ukizingua una reset unarudi Sha upya details, hakuna kitu chochote complicated kwenye router.

Pia huyo dogo kama alicheza na user na pass za router yeye atakua anajua details mhoji zaidi.
 
Kama ni TTCL nenda na fiber Mkuu, japo kukitokea hitlafu kitengo cha matengenezo wanazingua sana
 
Sidhani kama kuna matumaini ya kukumbuka.

Hao customer care wenyewe wanauelewa mdogo sana. Yaani unamwambia nataka kufanya mac filtering anakushangaa. Baadae ananiconnect na engineer wao, yeye anasema nipeleke hizo mac address waniwekee.

Kwa hiyo siku nikibadili device hadi niwatafute? Si utumwa huu.
 
Mkuu nimekaa india miaka 3 internet yao ina gharama hulinganishi na yetu, nlikuwa natumia airtel
 
KaKa huku nchi za watu internet ni kama maji ya kunywa. Natumia kifurushi cha makadiri ya 9k per month.

Simu ni unlimired
100sms per day
2gb of data per day
Nikiwq sehemu yenye 5g natumia unlimited bureee

Kwa sik

Namiss hizo huduma jijini New Delhi🔥
 
Hii ikifika Tanzania Porno itmaliza nguvu kazi ya Taifa hususani hawa wanaosukumwa na msukumo rika, ila ndo hivo kila kitu kina faida na hasara.
Mkuu hii sio point ata kidogo huezi wazuia watu wengi kufanya mambo makubwa kisa wachache wanaocheck porn ambayo haina direct effect unazoweza zielezea NI assumption Tu
 
Mkuu hii sio point ata kidogo huezi wazuia watu wengi kufanya mambo makubwa kisa wachache wanaocheck porn ambayo haina direct effect unazoweza zielezea NI assumption Tu
Ila ndo hivo kila kitu kina faida na hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…