Royal bundle

Royal bundle

Mudi_kidato

Senior Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
146
Reaction score
184
Naitwa mohamed juma ni mfanya kaz wa Halotel Niko APA kutambulisha huduma ya royal bundle hii lain inakupatia mb bila kikomo mwez mzika na dakika 120 all network na dakika 300 Halotel kwa Halotel gharama ya ke ni elf 10 unasajiliwa na kifurush cha mwez unapata hapo hapo mb ni bila kikomo napatikana dar tuuuu..0620775595 ahsanten saanaa
 
Ofis ipo wapi au tutume pesa kwenye namba hiyo??
 
rekebisheni kasi kidogo ya mtandao iko chini vibaya mno
Mkuu kwa hiyo Halotel nao Wana kasi ndogo?maana sasa hivi natumia Tigo na spidi yake hainifurahishi.
Kwa hiyo haina maana kuacha kutumia tigo na kununua Halotel?
 
Back
Top Bottom