Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
1. Wanaishi pamoja kwenye kasri kama extended family
2. Mtoto anakua ni mtoto tu kwa wazazi na hulelewa kwa uangalizi wa iana tofauti kuanzia
anapozaliwa hadi anapofariki kama mila za kiafrika zinavyoelekeza na sio ile ya kizungu
kwamba baada ya miaka 18 akaangalie maisha kwengine
3. Suala la kuoa au kuolewa ndani ya Royal family linaratibiwa na hasa kuchagua mchumba.
Binti au kijana aweza pata mchumba lakini suala la kuingia kwenye ndoa mpaka mchumba
aidhinishwe na familia japo hili halisemwi wazi
4. Watu wa Royal family wako very ethical na cultured na wanaoingia kama waowaji au
waolewajilazima wafuate na ku practice values za kifalme/malikia. Ndio maana kina Meghan
na Kate wanaacha uhuru wao waliouzoea wa kizungu na kufata kanuni za
uvaaji,utembeaji,ukaaji na hata manners za ulaji za Buckingham Palace
5. Demu muolewaji hakuna kujichanganya hovyo iwe ni kwa wazi au hata kwenye mitandao ya
kijamii. Nadhani hawataki kashfa ya kugongewa
Hayo na mengine mengi ni aina ya maisha wazee wetu na wazazi wetu walikua wakiishi muda mrefu sana kabda ya muingiliano wa tamaduni za kigeni kutoka mbali na kabda ya kutamalaki kwa utandawazi. Royal family ya Uingereza wanayaenzi hadi leo!