Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Steringi wa hii filamu alitwambia kuwa punde baada ya uzinduzi tutashuhudia faida mara 7000 ya gharama zilizo tumika kwenye maandalizi yake.
Matokeo yake tunaona mfumuko wa bei ukiongezeka, mwezi wa 7 tarehe 1 tumetangaziwa tozo mpya ya serikali kwenye miamala ya bank itaanza na tayari wafanya biashara wamejipanga kupandisha bei za bidhaa ifikapo mwezi July kutokana na ongezeko la mishahara.
Watumishi wanalia kwa kukusanywa uwanjani na kudanganywa kuhusu maslahi yao kisha wameongezewa vijisenti😂
Tafadhali ndugu steringi, kama royal tour haita gusa maisha yangu lipa fedha za watu.