Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Baada ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour, watalii na wawekezaji katika sekta ya utalii wameongezeka kwa mujibu wa hoteli za kitalii Dar es Salaam ongezeko la wageni limefika asilimia 280 na Arusha asilimia 340.
Kwa upande wa viwanja vya ndege miruko imeongezeka ikiwamo ndege zinazoingia nchini.
Kuanzia Juni mwaka jana na sasa mashirika mengi yameongeza miruko ya ndege hapa nchini. Kwa mfano Shirika la Ndege la Oman miruko imeongezeka kutoka 2 hadi 7 kwa wiki, Kenya (19-22), Shirika la Ndege la Emirate (4-7), Uturuki (4-7).