Hii ni habari njema kwa sisi wazalendo wa taifa hili, na ni msumali wa moto makalioni kwa wale wanaharakati koko, mazuzu na wale jamaa zao wanaojiita "TUTA yani kurefu chake "Tupambane na Tanzania". Hawa jamaa wa TUTA wengi wao ni wale wamasai wa mchongo kutoka nchi jirani waliokuwa wanaitumia nchi yetu kama shamba la bibi la kulimia mazao yao na kulishia mifugo yao. Sasa wameamua kutangaza vita kwa njia ya propaganda mbali mbali huku wakiunda hilo kundi lao wanaloliita TUTA kifupi cha neno :Tupambane na Tanzania" kisa tu serikali yetu imeingilia masilahi yao katika ardhi yetu.