chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Maisha haya ni mazuri na kwa wengine ni machungu.
Machungu tuliyonayo sijui yeye kwake ni mazuri.
Mama sasa rasmi naye anatengeneza dokumentari yake ya utalii, sijui ya nini.
Lakini je, hafahamu kuwa yeye ni Rais na muda anaotumia kwenda huku na kule kuna gharama za kila alipo.
Kwanini asinge wapa watu wenye ushawishi mfano Watanzania wanaokaa nje, watu wakubwa kama wafanyabiashara, wanamichezo na wasanii japo siwafagilii sana.
Mimi naona ingekuwa vizuri kipindi umemaliza mda wako na si Rais tena, hapo unaweza kufanya haya japo mwenyewe unafikiri ni faida.