Royalties: Sisi tunadangywa 3%- 4%, Ireland inadai 25% - 40% of Profits?

Baba Sangara

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2007
Posts
293
Reaction score
154
BBC News - Ireland 'close to oil billions'

What is wrong with us?

Extracts...


......However, campaigners have said that Ireland's relaxed laws with regard to its natural resources ought to be overhauled.
Ireland takes 25% of all profits, rising to 40% depending on the volume extracted.
Ireland's Energy Minister Pat Rabbitte concedes that the take is much lower than in the UK, or Norway, both of which have much greater resources of oil and gas......
 

Wezi wanafanya makusudi, wanawekewa hela kwenye mabenki ya nje! Hawa wanaokimbilia ikulu- familia nzima inataka kwenda ikulu! Watoto wao wote wanataka wawe mawziri!
 
Sie corporate tax yetu ni 30% ambayo hawalipi hadi warudishe mtaji wao...
 
mkuu mbona uko umeenda mbali sana,botswana wanapokea 40% na wanawalazimisha pia wawekezaj kujenga miundo mbinu,shule,hospitali,barabara etc kwenye sehemu ambapo kuna huo uwekezaji,sisi tanzania tumelala pia wajinga tukubali ilo
 
Sasa situfanye tu review ya sera zetu kwa manufaa yetu.
Hizi kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi....!
 
mleta mada kila nchi ina utaratibu wake katika kukusanya mapato mradi tu sheria za kodi zizingatiwe. Tz mrabaha ni 4% lakini pia wanalipa corparate tax 30% on prifit, wanalipa withholding tax, income tax na VAT kwa mafuta yatumikayo kwa magari madogo LV, development skill levy wanalipa kifupi ukijumuisha zote ni zaidi ya 48% ya mapato yao TZ inapata. soma kodi zinazotozwa kwenye biashara hiyo
 
hizi asasi za kiraia zinajua kupigia kelele siasa tu,haya hawayaoni?........inabidi waanze kuongelea hili pia,haki-elimu walifanya kazi nzuri kutetea maslahi ya waalimu,na kuonyesha maovu LIVE,na sasa tunaona positive changes,,,Tanzania ina NGO's lukuki,na sijasikia hata moja ikitetea jambo hili...where are we going?
 
Watu wanapotoshwa na wana harakati na wao bila kufikiria wana meza kila wanachoambiwa. 3% ni mrabaha tu. Ni 3% ya mauzo kabla ya kutoa kodi na gharama za uendeshaji.
 

Mkuu hiyo kwenye bluu ni kweli. Norway wao huchukua 49 % na mwekezaji anachukua 51 %. Upo hapo? Na sasa kampuni yao (Wanorway) ya StatOil iko huko kwetu inachimba gesi sijuwi wamesaini mkataba gani na nchi yetu. Yaani tunaibiwa kupita maelezo.
 
bhageshi... tuko familiar na hizo corporate tax, witholding taxes and all the loop holes that come with it.... So what is the big fuss about raising it from 3% to 4% then?..Sidahani Ireland wanalipa hizo 40% halafu wako exempt from income taxes etc etc?

But you are right... my argument is weak and we cannot compare apple to strawberries..
 
Mtawakimbiza wawekezaji halafu turudi kwenye foleni za kipande cha sabuni ilula !! hawa wanalipa kodi ka ipasavyo - tatizo labda ni matumizi ya hizo pesa. Tanzania ni nchi ngumu kuendesha maradi wowote ukilinganisha na nchi nyingine sababu huduma hazijajengeka kama umeme, barabara, usafiri, makazi n.k. kwa hiyo haya makampuni pia yana gharimika sana.
 
umeshawahi kusikia kuna anayerudisha mtaji wake??

wanatuibia tu

Wanasema wajinga ndio waliwao...

Nyerere aliyaacha madini ardhini kwa madai kwamba watanzania bado hawajawa na utaalam wa kutosha.....mwanafunzi wake alipoingia madarakani akawa ni "YES SIR" to whatever the IMF or WB proposes..
 
Bagheshi kama wangekuwa wanalipa zote izo then angalau wangekuwemo kwenye Top Ten ya large Tax payers yaani ata kiwanda cha Konyagi na Tigo wako top ten hawa wahujumu uchumi hawamo
Acheni kuwatetea wakati wanatuumiza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…