Unaambiwa police wametengewa bajeti ya zaidi ya 400b kwa ajili tu ya kukabiliana na vurugu zinazoweza kutokea kipindi cha uchaguzi.Policcm akisema hivyo maana yake ameshaandaa virungu na bunduki za kutosha za kupigia na pia kuulia watu. Kwa hiyo sisi wengine tumejiandaa kubakia zetu nyumbani huku tukifurahia wakati wetu vizuri.
Huu uchaguzi kuna maaskari watautumia kupandishiwa vyeo kwa kuua wanainchi... hili taifa lina laanaAnatetea ugali, na uzuri ametukuta watanzania sisi ni wanyonge, vizazi vijacho kauli kama hizi anajikuta kazungurukwa na wahuni
Nimeziona Toyota double cabin mpya (zero kilometer) za kutosha eti kwa ajili ya uchaguzi! Aisee haya mambo yanaogopesha mpaka basi. Kama kuna watu walikuwa wanambip, sasa ameamua kupiga.Unaambiwa police wametengewa bajeti ya zaidi ya 400b kwa ajili tu ya kukabiliana na vurugu zinazoweza kutokea kipindi cha uchaguzi.
Just imagine, kodi ya mtanzania inatumika kukabiliana na mtanzania pale atakapojaribu ku exercise haki yake ya kikatiba...
Policcm akisema hivyo maana yake ameshaandaa virungu na bunduki za kutosha za kupigia na pia kuulia watu. Kwa hiyo sisi wengine tumejiandaa kubakia zetu nyumbani huku tukifurahia wakati wetu vizuri.
halafu nyinyi ndio mange anawasubiria muingie rodini.....Policcm akisema hivyo maana yake ameshaandaa virungu na bunduki za kutosha za kupigia na pia kuulia watu. Kwa hiyo sisi wengine tumejiandaa kubakia zetu nyumbani huku tukifurahia wakati wetu vizuri.
mange anasema muwe barabarani saa 8 kamili mchana........virungu na bunduki vitatumika kupiga hewa.
..uchaguzi utakosa uhalali kutokana na idadi ndogo ya watu watakaojitokeza siku ya kupiga kura.