johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
RPC Mstaafu Mh Jamal Rwambo amesema kabla hajakamatwa Mwananchi ana Haki ya kujua kwanini anakamatwa
Aidha Polisi mkamataji ni lazima ajitambulishe na kueleza kituo Cha Polisi anachotoka
Rwambo amesema hata kwenye upekuzi ni lazima wawepo mashahidi wa kushuhudia zoezi la upekuzi
Haikubaliki Mtu kuja Kibabe tu na kuanza kumkamata Mtu bila kufuata kanuni na taratibu za ukamataji
Mlale Unono 😀