johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mungu akubariki ,ulale salama mzee wanguMaadili ya polisi hayafuatwi kwansababu za kiasisa, polisi ni watu wema sana ila siasa zilivyo ingilia ndio inaonekana ni wabaya kuliko hata ubaya wenyewe.
😄😄Mzee keshastaafu sa hv anatambua sheria ni nini ukute na yeye back in days alivyokua kitengo akikua km akina muliro tu
Namjua Rwambo tangu akiwa OCID Njombe hadi RPC Oyster bay ni Jamaa mmoja Safi sana 😂Mzee keshastaafu sa hv anatambua sheria ni nini ukute na yeye back in days alivyokua kitengo akikua km akina muliro tu
DuhWakiwa nje ya system ndiyo wanafunguka! Sijui huyo RPC mstaafu alistaafu awamu ipi?
Na huwa nawaambia ndugu zangu cdm na wanaharakati wengine.Maadili ya polisi hayafuatwi kwansababu za kiasisa, polisi ni watu wema sana ila siasa zilivyo ingilia ndio inaonekana ni wabaya kuliko hata ubaya wenyewe.
Hawa mapolisi hata sio wa kuwaamini wanapata akili wakisha staafu. Hata huyo ni waleleRPC Mstaafu Mh Jamal Rwambo amesema kabla hajakamatwa Mwananchi ana Haki ya kujua kwanini anakamatwa
Aidha Polisi mkamataji ni lazima ajitambulishe na kueleza kituo Cha Polisi anachotoka
Rwambo amesema hata kwenye upekuzi ni lazima wawepo mashahidi wa kushuhudia zoezi la upekuzi
Haikubaliki Mtu kuja Kibabe tu na kuanza kumkamata Mtu bila kufuata kanuni na taratibu za ukamataji
Source: East Africa Radio
Mlale Unono 😀
🤣🤣🤣Apa bongo utasikia twende utajua huko huko huu sini uonevu kabisa hivi kale kamfumo kakusachiwa nani alikaleta maana inatakiwa mionyeshe Mimi mwananchi sasa wakusachi wao utakuta puri la bangi limo uku huvuti🤔🤔RPC Mstaafu Mh Jamal Rwambo amesema kabla hajakamatwa Mwananchi ana Haki ya kujua kwanini anakamatwa
Aidha Polisi mkamataji ni lazima ajitambulishe na kueleza kituo Cha Polisi anachotoka
Rwambo amesema hata kwenye upekuzi ni lazima wawepo mashahidi wa kushuhudia zoezi la upekuzi
Haikubaliki Mtu kuja Kibabe tu na kuanza kumkamata Mtu bila kufuata kanuni na taratibu za ukamataji
Source: East Africa Radio
Mlale Unono 😀
Usikirizwe 👊Nadhani tuanze kujilinda wenyewe,kama unahisi unafatiliwa UMUGHAKA tafuta bisibisi yako au kisu kizuri kaa nacho kiunoni,mtu akija haeleweki eti anataka kukuhoji bora mmalizane mapema kuliko kwenda kukumaliza huko