RPC Muliro kama uraiani tu mnatubambikia bange mifukoni; je, tukiomba hizo lifti katika Difenda zenu si mtatubambikia hata vichwa vya watu?

RPC Muliro kama uraiani tu mnatubambikia bange mifukoni; je, tukiomba hizo lifti katika Difenda zenu si mtatubambikia hata vichwa vya watu?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Bora nitembee na Miguu kutoka Mwenge hadi Tegeta Nyuki nitakuwa na Amani na pia nitakuwa nimefanya Zoezi la Kiafya kuliko Kuomba Lifti katika Difenda za Polisi Hawa wa Tanzania ninaowafahamu Mimi.
 
Wamekufanya nini police?
Na kwanini uombe lift?
 
Yaani anaongea kisimpo Sanaa juzi nilikua matitu nimewaona wale masnipa wamemtobolea Bajaj juu kule kisa alisimama njiani
 
Ile gari yetu mi nawe tumechanga tumenunuwa sa inakuwaje si mabosi tusipande? Nipo hapa kawe ikipita napiga mkono.
 
Hamjaelewa,hii kauli ya RPC ni matokeo ya liberalization ya madam president kuwataka watende haki.kamanda ni msomi mkubwa anaongea philosophically.anaiita jamii iwe karibu na Police maana Tanzania ya Sasa siyo ya mwaka ule.
Ki MSINGI mama anaitafuta haki,maana haki huinua taifa.na watendaji wake wanafuata nyayo za mama.period.
 
Back
Top Bottom