A
Anonymous
Guest
Nina ombi kwa RPC wa Dodoma, msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste atafilisika na kuuawa. Tatizo hili lilianza mwaka 2021, Baada ya Kiongozi huyo wa dhehebu la Pentekoste kuingia makubaliano ya ujenzi na kampuni ya one 2 one focus. Wakaingia makubaliano ya kujengewa nyumba hapo Dodoma kwa kiasi Cha milioni mia moja na sabini 170,000,000 Tshs.
Aliyekuwa anasimamia huo ujenzi ni mtu mmoja anaitwa McEglon Rweyemamu. Huyo McEglon Rweyemamu alichofanya ni kutengeneza mrija wa kumtapeli huyo Mchungaji na kumfilisi kabisa.
Huyo MC Eglon Rweyemamu alichofanya, akatengenza namba mpya ya simu yenye jina la Rais wa Zanzibar. Akamdanganya huyo Kiongozi kuwa Kuna Luteni Generali wa jeshi anafanya kazi kwenye ikulu ya Zanzibar anaitwa Generali Mwamwega. Na akawaunganisha kimawasiliano huyo Mchungaji na Generali Mwamwega hapo ndipo utapeli ulipoanzia. Kumbuka Generali Mwamwega ni huyo huyo Mceglon.
Mwaka 2023 wakati wa Krismasi ndipo huyo McEglon alimpigia simu huyo Mchungaji na kumwambia kuwa yule waliyentumia pesa za kutoa gari bandarini amekamatwa na ameshtakiwa kwa kosa la utakatishaji fedha na kwamba polisi wanamtafuta huyo Mchungaji wamkamate. Wakati huyo Mchungaji amechanganyikiwa hajui kesi ya utakatishaji imeingiaje ndipo akatokezea huyo Generali Mwamwega na kumwambia asijali atamtumia cheo chake kumsaidia asikamatwe.
Jenerali Mwamwega akamwambia huyo Mchungaji kuwa ameongea na Rais Samia na Rais amesema alipe shilingi milioni mia mbili ndio shitaka lake litafutwa.
Ndipo huyo Mchungaji akaanza kulipa Hilo Deni la kitapeli, kuanzia Desemba 20 mpaka Leo. walimdanganya hizo pesa zinaenda ikulu. Mpaka Sasa ameshalipa milioni mia mbili na kitu, ila Hilo Deni la uongo wanaliongeza kila likikaribia kuisha. Huyo kiongozi kwa Sasa ana madeni mengi na hakuna jinsi ya kuyalipa. Mpaka amechanganyikiwa , hata gari lake kaweka bond. Mali zake zote kawapa aki a MC Eglon waziuze ili walipe Hilo Deni la serikali.
Mpaka Sasa wamemtapeli huyo Mchungaji milioni mia tatu na zaidi kwa kumtishia kesi ya utakatishaji fedha. Wamemtapeli Hilo jengo la Dodoma Wala hawakumaliza wameishia kwenye lenta, wamemtapeli kiwanja milioni 58 Dodoma, wamemtapeli pesa za matibabu milioni 100, wamemtapeli milioni mia mbili kwa kumtishia kesi ya utakatishaji fedha.
RPC wa Dodoma mumuokoe huyu kiongozi, ameanza kuwa kichaa.