TANZIA RPC wa TABORA ACP Richard Abwao afariki dunia

Huo mdomo anaonyesha alikuwa mtumiaji mwenzetu.
Rip
 
Jamaa naye mapenzi yalimnyoosha hatari inadaiwa aliwahi kumfumania mke wake live akipelekewa moto ila kwa moyo wa chuma jamaa hakufanya kitu akasepa zake.
Haya magonjwa yapo. Watu waheshimu ndoa zao.. Sasa kabaki mjane.. Na sasa kupata mume itakuwa tabu sana.. Watamuogopa kama ukoma. Labda aipeleke Malawi ndani ndani🀣
 
Asante kwa Taarifa
 
Kifo ni kifo tu alinena bibi wa Kizimkazi.
 
Je hakupewa kujumu pale oct 29?
 
Kama alitendauovu na hicho cheo chake bila shaka kuna vita kali alikotangulia huko.
Yule jamaa anayetajwa sana na utekaji na upotezaji watu siku akifa sijui itakuaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…