TANZIA RPC wa TABORA ACP Richard Abwao afariki dunia

R.I.P SACP Richard Abwao
 
Kifo ni kitu kibaya sana, Ndugu zangu kuuwa watu wasio na hatia wenye maisha mbele ni mbaya zaidi. Sifurahi kifo cha mtu kwa sababu kila nafsi itaonja mauti, lakini hata mkiua, mtaua, mtateka kama mnavyofanya. Samia pia kuna siku atakufa kwa sababu kila mmoja wetu atakuwa na siku yake. Cha msingi tuishi kwa haki, msionee (WANANCHI) bure watanganyika wasio na hatia. Siku moja tutahukumiwa kwa tulichokifanya........ Ni suala la muda tu. Iddi Amin alikufa, Mkapa, Ali Hassan Mwinyi, Nyerere, Magufuli.....Kila mtu. Tendeni wema......Mtajibu mlichofanya.
 
Samia anajiona ni immortal ndiyo maana anakejeli watu wanaouwawa na askari wake
 
Nimezipokea taarifa hizi za Kifo cha RPC wa Tabora Richard Abwao kwa masikitiko makubwa mno kwani licha ya kuwa alikuwa ni Ndata (Polisi) ila alikuwa ni Mtu muungwana mno.

Tangulia Kaka Richard Abwao mwendo wako umeumaliza. GENTAMYCINE natoa pole zangu nyingi sana kwa Jeshi la Polisi, Familia yake na Wananchi wa Mkoa wa Tabora kwa kuondokea na Askari Polisi huyu Mchapakazi Richard Abwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…