njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ama kwa hakika huu ni msiba mkubwa wa tatu kwa watoa bahasha za khaki na wapokeaji wa bahasha hizo , mana msiba wa kwanza ulikuwa goal la SAkho kuwa goala bora la week wakati makanjanja yakiwa yanajaribu kuwaridhisha maboss wao watoa bahasha za khaki walidai ni offside
Pigo la pili ni yule mwamuzi aliyelaumiwa sana na makanjanja kupewa game gumu la juzi kati ya senegal vs egypt
Pigo la tatu ni leo maana team yao kutoka moroko wwaliyoitetea kwa nguvu zote imekula boonge la faini
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Limeipiga faini ya dola za Marekani laki moja na elfu nane klabu ya Rs Berkane kutokana na makosa ya kinidhamu kwenye mchezo wao dhidi ya Simba SC, CAF imepiga fain timu hiyo kutokana na makosa makuu mawili.
1⃣- Klabu hiyo imekutwa na kosa la mashabiki wake kutupa vitu kwenye uwanja wakati mechi inaendelea.
2⃣- Makamu wa Rais wa Klabu hiyo Mr. Majid Madrane alivamia uwanja wakati mechi inaendelea na kuwashinikiza timu wachezaji wa timu yake Wasusie mechi.
Kiongozi huyo poa amefungiwa miezi 12 kujihusisha na Soka.