RSF kusitisha mapigano kupisha Sikukuu ya Eid

Boran Jakutay

Senior Member
Joined
Apr 8, 2023
Posts
110
Reaction score
259
Wanajeshi wa RSF nchini Sudan wametangaza kusitisha mapigano kwa upande wao kwa ajili ya kupisha Sikukuu ya Eid-al-Adha itakayoanza Jumatano.

Kiongozi wa RSF, Muhammad Hamdan Dagalo (Hemedti) ametengaza katika moja ya televisheni ya nchini humo huku akilaani dhuluma zinazofanywa kwa raia ikiwa ni pamoja na zile zinazotekelezwa na vikosi vyake mwenyewe.
 
Inaelekea wanaijua dini. Kwa nini viongozi wao wa kidini wasiwakalishe chini wayamalize kwa manufaa ya Wasudani?
 
Hawa waislam huwa wanashangaza sana wawapo vitani, hata kule libya walikuwa wanabondana wenyewe kwa wenyewe kama sudan, ikifika wakati wa swala wanaswali huku wakiwa na mabunduki yao na ikifika sikukuku ya dini yao wanaacha kubondana wanasherehekea sikukuu yao, ikipita wanaanza tena kubondana
 
Back
Top Bottom