Natania JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 262 Reaction score 217 Apr 26, 2013 #1 Wakuu msaada tafadhali. Hivi hii Road Traffic Act ya 1973 imekuwaamended mara ngapi? Na Je kuna kanuni zozote zinazotakiwa kusomwa pamoja na hii act? (angalizo: mie siyo mwanasheria, ni dereva ninayejielimisha na sheria za barabarani)!
Wakuu msaada tafadhali. Hivi hii Road Traffic Act ya 1973 imekuwaamended mara ngapi? Na Je kuna kanuni zozote zinazotakiwa kusomwa pamoja na hii act? (angalizo: mie siyo mwanasheria, ni dereva ninayejielimisha na sheria za barabarani)!