Jamaa alipanda ndege kwenda Dubai,badala ya kukaa economy class kama tiketi yake isemavyo akakaa first class, mhudumu kamwambia arudi economy hataki ,kila akiambiwa na staff wengineo bado hataki, akaja pilot akamnongoneza kua economy class ndo inaenda Dubai sio huku first ndo jamaa kuhama. Hawataki ujinga.