Rubani Mwandamizi wa Kenya Airways afariki kwa #COVID19

Rubani Mwandamizi wa Kenya Airways afariki kwa #COVID19

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Rubani Daudi Kimuyu Kibati aliendesha Ndege ya mwisho kutoka New York Marekani kurudi Kenya baada ya Mlipuko wa Virusi vya Corona amefariki akiwa na umri wa miaka 63

Alifanyiwa vipimo vya afya katika Hospitali ya Nairobi mnamo Machi 29, 2020 baada ya kupata tatizo la kupumua kwa shida. Daktari wake alimshauri apime #COVID19 na ndipo akabainika kuwa na maambukizi


========

A senior Kenya Airways pilot is among the two latest people to die from coronavirus. The pilot, said to be aged 63 checked in at the Nairobi Hospital on March 29 complaining of difficulties breathing.

“His doctor recommended Covid-19 tests which turned positive. The Star learned that he was taken to the isolation ward within the hospital until his death on Thursday. Two more pilots who tested positive are admitted at the same hospital,” a report in The Star newspaper said.

A related message of condolence further reported that the pilot flew the last plane from New York to Nairobi on Wednesday 25.

However, the national carrier did not reveal these details in their death announcement to staff. “We regret to announce the death of our colleague, Captain Daudi Kimuyu Kibati, which occurred on 1st April 2020. Until his death, Captain Kibati was a Captain on the 787 Fleet in Operations Department,” the statement from Kenya Airways read in part.

According to The Star, apart from the Kenya Airways pilot, the other victim was a 68-year-old female Kenya Ports Authority employee, who died on Wednesday night at the Mombasa Hospital’s isolation ward. Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe confirmed the two new deaths in his daily briefing on Thursday. This brings to three the number of people killed by coronavirus since the disease was reported in Kenya on March 13.

BizKenya
 
Tusichoke kuomba Mungu jamani. Kwa sasa lililo kuu ni kujitunza na maambukizi na kutodharau kabisa ugonjwa huu.

Huyu rubani ni mfano tosha kabisa kuwa mtu yoyote anaweza kufa na ugonjwa huu bila kujali kasoma, ana hela, ana kazi nzuri, yuko karibu na hospitali na anajina na status kwenye jamii.

Korona is real jamani!
 
UPDATE: Kenya Airways pilot, Daudi Kibati, has been buried in Kitui county; he died after contracting coronavirus.

“Captain Kibati was the pilot who flew the last KQ flight from New York to Nairobi… He took a major risk to go evacuate Kenyans from US… He made the ultimate sacrifice” - CS Kagwe.

“You (Kibati) were very selfless such that if you were here today, and asked who should suffer this world wide beast Covid-19, you would say of course, ‘it’s me’” - Jane Mwende (Widow)

Duuu inasikitisha sana maana jamaa aliuvaa uzalendo wa kweli kweli.

Source kntv

In God we Trust
 
Hizi habari za corona mnatisha watu wasifanye kazi, watch out mko free kizoposti ila not to that extent
 
Kovidi 19 haitendi haki huku kwetu maana inawaacha manyang'au yaliyoteka na kutesa watz yakizurura mitaani na kujifanya yanamtegemea mungu. Kovidi ua hayo msajitu.
 
R.I.P RUBANI.....Yanaacha kufa majitu km bashite yasiyojali wanakufa watu wa maana...
 
Back
Top Bottom