other pilots were landing, it takes skill to do such. wacha kelele za churaShe doesnt deserve kupewa sifa, very dangerous risk, ndio maana sipendi kupanda KQs. Do you remember Kenyan idiot piloting Boeing 737 who forced to fly from Younde Cameron despite being warned not to, amid bad Weather, kilichofuata he killed all passengers onboard
"An African doing it"Hivi wakenya bado hamjaelewa what the hype is for?
Sio ndege kutua. Ndege hutua hapo katika hali mbaya zaidi ya hiyo.
Kitu kinacholeta hii yote in "an African doing it" tena ni mwanamke.
Idiots will still not get it!
Kenyans, your inferiority complex is getting out of hand!
She doesnt deserve kupewa sifa, very dangerous risk, ndio maana sipendi kupanda KQs. Do you remember Kenyan idiot piloting Boeing 737 who forced to fly from Younde Cameron despite being warned not to, amid bad Weather, kilichofuata he killed all passengers onboard
Pumbavu hebu weka female pilot wenu anayeoperate Boeing 787.Ungesema 'abiria wamenusurika (akiwemo rubani)' ingependeza kuliko kutuletea mambo za rubani ya Kikenya kurusha ndege. Kwani nchi gani haina female pilots? Ako Kenya only? Wakenya ni gani?
That's not my level. Wapo but siwezi anza ringia vitu viko obviousPumbavu hebu weka female pilot wenu anayeoperate Boeing 787.
Ana risk maisha. Lolote laweza kutokea.leo kabahatika siku nyingine itabaki kwa historia.Ungesema 'abiria wamenusurika (akiwemo rubani)' ingependeza kuliko kutuletea mambo za rubani ya Kikenya kurusha ndege. Kwani nchi gani haina female pilots? Ako Kenya only? Wakenya ni gani?
SureAna risk maisha. Lolote laweza kutokea.leo kabahatika siku nyingine itabaki kwa historia.
Angeua watu..ungeandika Uzi pia?Heh! Yaani leo ile povu Watanzania wamemwaga hapa sio mchezo. Punguzeni wivu kidogo, tumpe hongera huyu dada.
Sasa kama haina inauma nini kwa kenya?Wacha ujinga. Tanzania haina Boeing 787.