Rubby katembelea Nyota ya Majizzo kutoa Audio iitwayo "Uridhike" Leo 16-08-2023

Kichwamoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
3,403
Reaction score
4,692
Wanamuziki wabongo ni wadhaifu sana kwenye ubunifu, wanapenda slope na music spinning. Personally wengi hawana public triggers za kupata popularity za trending kwenye song releases zao.

Kiwimbo chenyewe cha Uridhike hakina vibe kali la hisia za kuchimba visima na matembele kwa ndizi tukufu.

Rubby amekewa mwanamziki katika level za kokolo.

Ndio Iko hivyo Rubby katepeta

Kichwamoto
 
We mtoto wa kiume ujue! Af huyo unaemjadili wa kike. Yaani hapa ndo ninaposemaga kila siku kwamba, vijana wa siku hizi mmekuwa vipapa sana! Hamna makoo
 
We mtoto wa kiume ujue! Af huyo unaemjadili wa kike. Yaani hapa ndo ninaposemaga kila siku kwamba, vijana wa siku hizi mmekuwa vipapa sana! Hamna makoo
Huyo ashakuwa kokolo kwenye tasnia ya mziki
 
Mjomba unakimbizwa😀😀 mbona sijakuelewa
Prior tu kutoa wimbo wake huo wa Uridhike si ndio alifanya kumnyea kwa tuhuma ndugu Majizo kumbe anatafuta synergy ya kutrend na wimbo wake alotoa Leo kamshirikisha Mbosso
 
Moderators please kindly, rekebisha mwezi ni 16-09-2023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…