[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ile final gurdiola alizngua pakubwa..Mwamba wa kireno uko vizuri sana, tatizo Guardiola aliwabania kuwapa kombe la UCL, angetakiwa abebe tuzo zote mpaka ya mchezaji bora wa dunia.
Kawauzia kombe Chelsea makusudi.[emoji1] [emoji1] [emoji1] Ile final gurdiola alizngua pakubwa..
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Dias deservedHii ni tuzo nyingine tena kwa beki wa Manchester City, Ruben Dias [emoji1201] Ikiwa haijatimia hata mwezi ambapo Tarehe 20 mei 2021 alichukua tuzo ya FWA FOOTBALL of the year. Ruben Dias [emoji1201] anakua beki wa nne kuchukua tuzo hii; Nemanja Vidic (×2) 2008/2009 na 2010/2011, Vicent Kompany 2011/2012, Virgil van Dijk 2018/2019 ndiyo mabeki watatu waliotangulia kuchukua tuzo hiyo. View attachment 1808959
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Guardiola ufundi mwingi mno hadi anaharibu![emoji1] [emoji1] [emoji1] Ile final gurdiola alizngua pakubwa..
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Yani akaamua kuingia bila CDM.. Yani gurdiola bhanaaGuardiola ufundi mwingi mno hadi anaharibu!
Kwa kweliiii asee. Ile final alaumiwe pepKawauzia kombe Chelsea makusudi.
Kind of kivipi?
Chelsea tangu aje Tuchel kamfanya Man City mke wake halaliKawauzia kombe Chelsea makusudi.
Kawauzia kombe Chelsea makusudi.
Kuna mwaka Aguero alikua na stats ka za kane ila akapewa costa.. So sijui wanangalia niniKind of kivipi?
Top scorer
Most assists
Kane alistahili 100%
Ndo ishatokea sasa... Wapiga kura ao wamempa dias.Achana na mambo ya kind of, Kane ndio alistahili ile tunzo. Sikatai Dias ni beki mzuri sana ila sio kuwa mchezaji bora kwa msimu huu hapana kwa kweli.
Ndo ishatokea sasa... Wapiga kura ao wamempa dias.
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app