Rubi yupo wapi siku hizi?

za chini ya kapeti alikuwa ama date na wote sudy na rugg nahisi walivoachana na boss haikua katka gud terms maana akaanza kuwatemea mapovu kupitia e fm
Ohooo...
Na clouds kwakweli wakiamua kumpandisha wanampandisha kweli, na kumpoteza pia hivo hivo, ruby kapotea kwakweli
 
za chini ya kapeti alikuwa ama date na wote sudy na rugg nahisi walivoachana na boss haikua katka gud terms maana akaanza kuwatemea mapovu kupitia e fm

Boss Ruge nae anapenda kuvuta ngozi zenye nyama ndogo. Vidada viportable ndio vinammaliza Boss R. Hana time na woowooowooo[emoji851][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]
 
Hako katakua Ka Bundle ka dakika Mkuu,
Zile za kina Snura na wale Chura wake ndio Bundle za Singeli mkuu
Ukijiunga dakika 10 si haba shekhe, si unajua watu wakubwa kama Ruge wako bize hawahitaji kujiunga na vifurushi vikubwa
 
Kila MTU na maamuzi yake.

Tuheshimu maamuzi yake.
 
Eti wadau hivi huyu mwanadada, Rubi msanii wa kizazi kipya, ameishia wapi? Simsikii akivuma siku hizi! Kulikoni?

Hivi hilo furushi lote huko kichwani haskii uzito? Hebu kulwa njoo unisaidie plz
 
We jamaa umenichekesha sana...umenikumbusha kipindi mshua anatoa hela ya kwenda shule usiku kesho ndo safari...huo usia unaweza kususa pesa
Maneno ya wazazi huwa makali sana ila mkuu hata we si unaona huruma hapo nimemhurumia kabisa
 
Alikorofishana na waliompandisha akasahau hao wengine uwa hatoi wala kuendeleza vipaji bali hufuata mkumbo wa waliobuliwa na hao hao mawingu

Kajilegeza tu na uvivu mbona hajatoa wimbo wowote kwamba ukabuma na redio zisipige? Aige mfano wa Aslay kapambana hadi redio zinamtafuta zenyewe
 
Kajilegeza tu na uvivu mbona hajatoa wimbo wowote kwamba ukabuma na redio zisipige? Aige mfano wa Aslay kapambana hadi redio zinamtafuta zenyewe
Mbona katoa mkuu, mimi nafahamu nyimbo zake mbili sema huzijui kwasababu hazijakiki wa mwisho kaimba singeri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…