elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Huwezi kula na kujisaidia kwenye sahani unayolia kwa wakati mmoja ukategemea utaendelea kula.ruby ana kipaji kikubwa kuliko Nandy ila figisu figisu tu zimempoteza
[emoji1] [emoji1]Skeleton linakata mauno, uzuri wa kugeuza kalio kwa mashabiki uwe na tako sasa kakauka kama kanyonywa damu na vampire.
Alipewa laki 2 apige show fiesta mwanza akagomaaliwafanya nini tena huyu shemela wao, nlisikia ni demu wa soudy brown
Anakupa hela ya nini we ni mtoto wa kiume unawaza kuhongwa tuHuyu akitokea akanipa hela sipokei aisee anaipata kwa tabu sana dah !Mungu saidia
Alitukana mamba kabla hajavuka mto
Yaani Ruge hana tofauti na mimi kabisa katika ilo la viprtableBoss Ruge nae anapenda kuvuta ngozi zenye nyama ndogo. Vidada viportable ndio vinammaliza Boss R. Hana time na woowooowooo[emoji851][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]