Shukurani sana šKwenye maduka yanayo uza vitabu na vifaa vya elimu. bei hutofautiana ila vingi vya tz bei ni 3000-5000/=
Sawa sawaPia maduka ya toys za watoto...
Uwe tu makini kwenye kununua, kuna zingine zina wahi kuharibika, karatasi ya juu inatoka.
SawaNenda supermakets utazipata