supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Ndiyo lebo yenye ushawishi zaidi kwenye kiwanda cha muziki Afrika Mashariki and one of the best and most influential in Africa.. Na ndio lebo pekee ya kitanzania yenye weledi wa soko la mziki nje ya mipaka ya nchi yetu..WCB kwani wana kitu gani special?
umeeleza vizuriNdiyo lebo yenye ushawishi zaidi kwenye kiwanda cha muziki Afrika Mashariki and one the best and most influential in Africa.. Na ndio lebo pekee ya kitanzania yenye weledi wa soko la mziki nje ya mipaka ya nchi yetu..
Mkuu, that is special..
"Sio SIMBA sio chui sio MAMBA"
"kalale ndoto zako za kitanda"
Kabadili baada ya post yangu mkuu.Amesema wa pili sio wa kwanza
Ndiyo lebo yenye ushawishi zaidi kwenye kiwanda cha muziki Afrika Mashariki and one of the best and most influential in Africa.. Na ndio lebo pekee ya kitanzania yenye weledi wa soko la mziki nje ya mipaka ya nchi yetu..
Mkuu, that is special..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa afisa habari wa WCB.Hizo ni tetesi!
Hajajiunga WCB unless likitoka tamko rasmi..
Alafu mkumbuke Darassa ana lebo yake CMG kwahiyo sio kitu rahisi kwake kujiunga WCB..
Alafu "usajili" WCB ulifungwa kwa muda ili kuwasukuma wasanii ambao tayari wapo.. Kwahiyo hii taarifa itabakia tu kuwa tetesi
Ruby mpaka sasa alitakiwa awe amejiunga kitambo sana! Ila kuna vitu vilikuwa havijafikiwa muafaka..
Tusubiri official announcement..
Hata sihitaji wanilipe! Waneniahidi nikijaliwa mtoto wa kiume wananipa Tiffah bureeeeee [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa afisa habari wa WCB.
Sijui wanakulipa Sh ngapi,sio kwa kazi hii nzito unayoifanya huku!
Nilitaka nikitag ila nikajua tu utakuja [emoji6]
Queen Darlene ni sehemu ya management. Sio sehemu ya wanamuzikiHaya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?
Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Hii taarifa bado cjaiaminiHaya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?
Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Dogo umeivamia jf kwa fujo sana,matokeo yake unazochezea BAN kila wiki kubabake daah teh teh teh teh.....Kama samsun ni KIFESI
Basi soon Wewe watakuita Q boy au Laizer
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa afisa habari wa WCB.
Sijui wanakulipa Sh ngapi,sio kwa kazi hii nzito unayoifanya huku!
Nilitaka nikitag ila nikajua tu utakuja [emoji6]
Kabadili baada ya post yangu mkuu.
Lakini wakati nasoma alisema atakuwa wa kwanza.
Ningejua ningemquote post yote.
Mtoa mada ameandika atakuwa msichana wa pili, someni vizuri wadau.Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?
Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Mbona queen Darleen Yupo wcb toka cku nyingi tuu ww unasema Ruby amekuwa mwanamke wa kwanza kujiunga wcb