Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Msaniii Ruby amefanya Cover ya wimbo wa Diamond Platnumz Je utanipenda na kuutendea haki kama vile ni wake akiimba kwa hisia kali sana utafikiri wimbo wake kwa ambao hamjausikia upate hapo Ruby - Je Utanipenda (Diamond Cover) | Mp3 Download [New Song] ~ Joh Venture (Official Site)