Ruby umetisha kwenye cover song ya wimbo wa Diamond Je utanipenda

Tatizo lake anajikamua sana hadi ladha inapotea
amna ruby ana sauti kali sana yani bila mic anaimba yani sauti bila kipaza bado inakua ina ukali masikioni ndo mana unaona kama anajikamua
 
mbona sijaona uzuri huu uliosifia hivyo? au kwa vile sio mpenzi wa haya mambo?
 
Ruby amefanya vema sana,wanaojua vocal wataungana na mim
 
Yaani Kama ndio angekua kaiimba yeye hii ingekua moja ya nyimbo mbovu kuwahi tokea.

She's has a good voice ila humu kachemka vibaya flowing. Yuko flat kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…