Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Point natamani kandamba angeona haya madini
 
TTCL wanakula data haraka sana kuliko motandao mingine nilinunua bundle la shs 15000. Nikapata 5GB mchana na 25GB usiku huwezi amani ndani ya siku nne sikuwa na bundle.
Nikaapa sinta tumia ttcl tena.
Siyo kweli Mimi nimtumiaji mzuri Sana wa bundle,huwa na nunua gb 7 kwa elfu 5 na sijawahii kosa kuingia you tube, Instagram,jamii forum na Soma emails daily bundle linaenda moderate kwa speed ya uhakika
 
Point natamani kandamba angeona haya madini
Wanayajua sana tu tatizo lao kufanya ni kuendesha business as usual!!

Nilishawahi kuwaomba kazi hawa jamaa na proposal juu on how I can deliver in sales and customer service!!

Nadhani ile proposal kama haikufungiwa maandazi basi ilitupwa in a dustbin!!

Kwahiyo wanajua sana sema basi tu!! Moja ya mambo ambayo hadi sasa serikali hawajafanikiwa japo nusu, ni ku-inflict corporate culture in government institutions! Kusipokuwa na corporate culture, there will be no business oriented minds! If no business oriented minds; huwezi kupambana na wenzako!!
 
Siyo kweli Mimi nimtumiaji mzuri Sana wa bundle,huwa na nunua gb 7 kwa elfu 5 na sijawahii kosa kuingia you tube, Instagram,jamii forum na Soma emails daily bundle linaenda moderate kwa speed ya uhakika

GB 7 kwa 5000 ni kifurushi cha siku au wiki? mi natumia cha GB 3 kwa 2000 cha wiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…