Nahitaji lain ya ttcl nitaipata wapi hapa dar? Niko puguKulikoni Wilayani wako hao ttcl
Au ndio wamejikita mjini tu?
Halotel walichofanikiwa ni kujikita vijijini wakiamini kila aliye mjini ana Ndugu Yake kijijini,
Kwa hilo wamefanikiwa sana lakni hawa ttcl wana minara maeneo mengi ya nchi sijui wanaifanyia mini au minara yao ya kizamani?
Ni Cha mweziGB 7 kwa 5000 ni kifurushi cha siku au wiki? mi natumia cha GB 3 kwa 2000 cha wiki
Wamepitiliza sasa wapo ChattleHivi ttcl wamefika morogoro?
Hah hah hahaaHalotel nimevunja kabisa line yao...tusubiri na Hawa muda Ni shahidi mzuri
GB 7 kwa 5000 ni kwa mwezi na GB 6.5 kwa 5000 na dkk 75 all networks na unlimited TTCL-TTCLGB 7 kwa 5000 ni kifurushi cha siku au wiki? mi natumia cha GB 3 kwa 2000 cha wiki
Acha kudanganya watu, taarifa yako sio ya kweli
Halotel nimevunja kabisa line yao...tusubiri na Hawa muda Ni shahidi mzuri
GB 7 kwa 5000 ni kifurushi cha siku au wiki? mi natumia cha GB 3 kwa 2000 cha wiki
Vp mkuu Tigo na ttcl hapa A.town unaionaje.Mi nmehamia airtel kaka yani bora niweke buku kila baada ya siku 3 ila sio kuweka 1,500 kila baada ya hizo siku! Nataka nihamie ttcl kwa hapa moshi wapo gudi kdogo