Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Sina hakika haya mawazo yako ni kwa sababu ya ujinga au unataka kupotosha kwa makusudi!
Ni ujinga usiomithirika kubeza lugha ya kingereza ilihali tunajua kabisa kwamba English is a Lingua Franca of many speech communities. Kubeza lugha ya malkia ni udhihirisho kuwa wewe fikra zako ni fupi kwa kiwango cha kuhuzunisha sana.
Elimu yetu ni mbovu sababu ya kutumia kiingereza. Tungetumia kiswahili hadi PHD tungekuwa na elimu bora sana.
Unajua kiingereza mkuu, mbona mweupe hivi kufikiri!!!Mwendazake alitaka lianzishwe somo la "Historia ya Tanzania" na lifundishwe kwa kiswahili kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha sita. Historia yenyewe ilikua ni kumtukuza mwendazake. Huyu jamaa alikichukia sana kiingereza. Waziri wa elimu naye alikwenda na mapigo ya muziki wa boss wake. Bado kuna watu walishangilia hii tabia.
Kumbe swala sio kiingereza ni mtaala wanaotumia kufundishia.... wote ni mashuhuda jinsi Kiingereza kilivyotugeuza kituko siku zilizopita. Bosi akiongea watu mnainama kwa aibu? Sio tu lugha ila hata kujenga hoja na ushawishi ni zero. Tuondokane na ujinga ule! Haiwezekani bila kuwekeza sana kwenye elimu.
Sijajua siri ya hii kitu; hivi ni kwanini watoto wadogo, mfano wawili, chosen at random, huyu yuko mtaala wa Kiswahili na huyu yuko mtaala wa Kimalkia inakuwaje yule wa Kimalkia ana confidence ya hali juu mno na uwezo wa kujenga hoja na ushawishi kuliko yule wa Kiswahili hata kama lugha watakayokuwa wanatumia ku-argue ni Kiswahili?
Hebu wataalamu wa social sciences and human behavior fanyeni tafiti zenu mlete majibu badala ya kuwaachia wanasiasa laghai wanaojifanya kujua kila kitu wananchi wanachotaka bila hata kuwauliza hao wananchi.
Ndio maana naichukia CCM...imejaa wapuuzi kama wewe halafu kwa ujinga wenu mnang'ang'ania kwa nguvu uongozi wa taifa hili huku uwezo, busara na hekima ni sufuri. Hizo PhD unazozitaja si ndio kama hizo za dhalimu mwendakuzimu aliyesalimu amri kwa corona?Elimu yetu ni mbovu sababu ya kutumia kiingereza. Tungetumia kiswahili hadi PHD tungekuwa na elimu bora sana.
Siyo kwa sababu kitu alisema baba wa taifa basi ndiyo sahihi. Kujifunga namna hiyo ni dalili ya kutoelimika. Kadri tunavyoendelea kutumia kiingereza kamw lugha ya kujifunzia hatutakaa tuelimike wala kuwa wabunifu.Ndio maana naichukia CCM...imejaa wapuuzi kama wewe halafu kwa ujinga wenu mnang'ang'ania kwa nguvu uongozi wa taifa hili huku uwezo, busara na hekima ni sufuri. Hizo PhD unazozitaja si ndio kama hizo za dhalimu mwendakuzimu aliyesalimu amri kwa corona?
Nina hakika kutojua Kiingereza kulichangia sana katika imani yake potofu ya kudhani anajua kumbe hajui chochote. Utajua dunia inaelekea wapi kama hujui Kiingereza (Kiswahili cha dunia) kama alivyotuhadharisha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP!)
Hakika adui mkubwa wa taifa letu ni CCM na tunakoelekea ni wazi kuwa kila awamu tutakuwa tunasukumiziwa kiongozi wa hovyo kuliko aliyemtangulia. Baada ya Mungu kutuokoa na kutuondolea dhalimu mwendakuzimu nilidhani tumejifunza kitu lakini aaaa wapi!
Tafiti zimefanyika miaka na miaka. Lakini kwa sababu ya mentality ya kikoloni tumegoma kutumia kiswahili. Kuna professor mmoja anaitwa Martha Qorro, kafanya sana tafiti kuhusu jambo hili. Tafiti zake zimeonyesha kunafaids kubwa kutumia kiswahili kama lugha ya kufundishia.... wote ni mashuhuda jinsi Kiingereza kilivyotugeuza kituko siku zilizopita. Bosi akiongea watu mnainama kwa aibu? Sio tu lugha ila hata kujenga hoja na ushawishi ni zero. Tuondokane na ujinga ule! Haiwezekani bila kuwekeza sana kwenye elimu.
Sijajua siri ya hii kitu; hivi ni kwanini watoto wadogo, mfano wawili, chosen at random, huyu yuko mtaala wa Kiswahili na huyu yuko mtaala wa Kimalkia inakuwaje yule wa Kimalkia ana confidence ya hali juu mno na uwezo wa kujenga hoja na ushawishi kuliko yule wa Kiswahili hata kama lugha watakayokuwa wanatumia ku-argue ni Kiswahili?
Hebu wataalamu wa social sciences and human behavior fanyeni tafiti zenu mlete majibu badala ya kuwaachia wanasiasa laghai wanaojifanya kujua kila kitu wananchi wanachotaka bila hata kuwauliza hao wananchi.
Huyo anaenzi ujinga wa diktetaSina hakika haya mawazo yako ni kwa sababu ya ujinga au unataka kupotosha kwa makusudi!
Hiyo Lugha ya kingereza Inaongeza vitamin zipi kwenye mwili wa binadamu??
Nilipoona tu avatar yako nikajua utakuwa umecoment ujinga. Halafu wewe eti ndio think tank ya ccm. Nchi hii majinga ndio yamejaa sijui tulimkosea nini Mungu.Hiyo Lugha ya kingereza Inaongeza vitamin zipi kwenye mwili wa binadamu??
Wewe mjanja Kuna jambo Gani la maana umefanya zaidi ya kumpa mimba khumbu??Nilipoona tu avatar yako nikajua utakuwa umecoment ujinga. Halafu wewe eti ndio think tank ya ccm. Nchi hii majinga ndio yamejaa sijui tulimkosea nini Mungu.
Maisha yangu na Khumbu ni sehemu ya mapito yangu duniani, hata wewe una chapter yako ya kimahusiano lakini inashangaza kwenye mijadala makini kama hii na wewe unashiriki wakati unajijua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. There is a saying goes like this: "it is better to be thought stupid rather than to open your mouth and remove all the doubts"Wewe mjanja Kuna jambo Gani la maana umefanya zaidi ya kumpa mimba khumbu??
Inasikitisha sana kuona kijana unajisifia Ngono.
A typical Tanzanian.
You have a very low IQ,Maisha yangu na Khumbu ni sehemu ya mapito yangu duniani, hata wewe una chapter yako ya kimahusiano lakini inashangaza kwenye mijadala makini kama hii na wewe unashiriki wakati unajijua uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. There is a saying goes like this: "it is better to be thought stupid rather than to open your mouth and remove all the doubts"
Tatizo sasa hivi na tunako endelea kiingereza kwa africa kitakuwa sio ishu tena kwa sababu tunaondokana na utumwa wa kiingereza tunahamia kwenye utumwa wa kichinaMimi nimesema nitavaa hata magunia, lakini mtoto lazima aendelee kusoma shule ya mitalaa ya kiingereza. Hao viongozi wanajifanya wazalendo, lakini watoto wao wakiongea kiingereza wanatabasamu hadi jino la mwisho linaonekana. Nenda huko manyumbani mwao, wao na watoto wao wanaangalia DSTV na sio hizi local za michezo ya kina Mkojani. Halafu wakimaliza shule anayeajiriwa ni anayejua kiingereza fasaha.
Lugha ya wachina imefubaa. Nenda China wakiona mtu anayeongea kiingereza wanamkwepa. Ukijua kiingereza unaweza kuishi popote duniani na ukaelewana na watu, jua kichina sasa uone kama utatoboa.Tatizo sasa hivi na tunako endelea kiingereza kwa africa kitakuwa sio ishu tena kwa sababu tunaondokana na utumwa wa kiingereza tunahamia kwenye utumwa wa kichina
Hivi hata darasa la saba ulimaliza kweli wewe? Naanza kujisikia vibaya kukuchallenge. Naanza kuhisi kama namchallenge mtu ambaye actually anahitaji kusaidiwa. Nafananisha na mtu mzima anamshambulia kwa mateke na ngumi mtoto wa miaka 2 ambaye obviously hawezi kujitetea. If this is the case I'm very sorry.You have a very low IQ,
Kuanza tu kusimulia namna unafanya ngono ni kiashiria Cha mtu mwenye uwezo mdogo sana wa kufikiri.
Wenzako wanatengeneza softwares
Wewe unaleta matambo ya kuvua nguo za ndani. ??
Pathetic.
Bora tu urudi ukajifiche ndani ya nguo za ndani za watoto wa kike maana huko ndiko makazi Yako ya kudumu.
Ingawa mimi huwa naona ni dhana ile ile tu ya utumwa wa mwafrica dhidi mtu mweupe kuona cha mweupe ni mali zaid kuliko chake , ndio maana mtu anapambana ajue kingereza na sio kiswahili au kichaga , ni utumwa tu.Lugha ya wachina imefubaa. Nenda China wakiona mtu anayeongea kiingereza wanamkwepa. Ukijua kiingereza unaweza kuishi popote duniani na ukaelewana na watu, jua kichina sasa uone kama utatoboa.