Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Najua mmeshiba na kutujazia Kodi sio kuwa ndipo mnapata uchumi mkubwa wa kulipa madeni.mmeogopa kuwabana wenye pesa Ila mnababana na wajinga wanyonge wasio na nguvu Mana hawamrishi Askari masikini mwenzake.
Sasa wewe eti hakuna tozo kutoa hela chini 30k kwa atm nikitoa laki mbili nakatwa,nikaiweka hela Benki nakatwa na nikitoa otc nakatwa bado nikiinunulia sukari nakatwa na huku nimelipwa Ni mtumishi wa serikalini nimekatwa paye.
Hapo mmesaidia Nini eti hakuna makato kutuma hela Kati ya benki na banki za Aina moja ama tofauti na hiyo hela chini ya alfu 30.
Hizo huduma Ni watu wangapi wanazotumia zaidi ya kuweka na kutoa.
Bro sio kisa umechaguliwa ubunge uko hapo unajiona kuwa una akili mno kuliko wengine.
Na Ni kweli msukuma anadai kuwa wasomi wanashindwa kufanya innovation ya kukuza uchumi ili tupate mapato Ni kweli. Ni kukariri na kutapika unaitwa msomi na desperation za kuandikiwa.
Najua uandhani kisa Cha cheo ama kaelimu ama vihela Basi unajiona Kama una akili mno kuliko hata baba yako aliyemiliki ng'ombe na kuishia la kwanza . Saivi umeshiba na umelewa.
Soko kuu la mwanza mmeshindwa kujenga hata liwe floor kumi huko juu mjaze wamachinga mchukue Kodi mmewacha wazagae wapate njaa baadaye fujo ianze.