H Handsome Boy 2014 JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 605 Reaction score 151 Nov 1, 2014 #1 Mwenye kujua majibu ya rufaa kwa bodi ya mikopo hutoka baada ya siku ngapi tangu rufaa kuanza kupokelewa,Naomba anijuze.
Mwenye kujua majibu ya rufaa kwa bodi ya mikopo hutoka baada ya siku ngapi tangu rufaa kuanza kupokelewa,Naomba anijuze.
njundelekajo JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 310 Reaction score 227 Nov 3, 2014 #3 Na tangu bodi watoe majina ya mikopo lini mda Wa rufaa hufungwa?