Rufaa matokeo ya form four 2012

JRK

Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
47
Reaction score
11
naamini hakuna kiumbe chochote kilicho perfect 100% ila MUNGU pekee.. kwa hili baraza la mtihani Tanzania (NECTA) wameamua kutuongezea utata.. sidhani na sitaamini kama kuna ukweli katika hizi rufaa.. ninachoona ni copy & pest ya matokeo yale yale..
 

Attachments

katika awamu zote tulizotawaliwa na ccm hii ya 4 ni kal kuliko zote...... mpaka najiuliza hivy waombolezaji wako wapi inamaa hatukumuomba mungu atupe kiongozi mwenye busara na akili jamani
 
Mkuu rufaa huwa hamna chochote wanachokifanya zaidi ya kucope na kupaste.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…