ahsante mkuu, kwa iyo haiwezekani kwa aliyekua mshtakiwa kufungua kesi ya kulipwa fidia ya kupotezewa muda na kuzalilishwa?Kama unamadai au jinai kakufanyia unamshitaki....lakin hakuna jinai au matai ya kupotezewa mda
Mkuu kukudhlilisha jinai hiyo....kama una evidence fungua shtaka....ahsante mkuu, kwa iyo haiwezekani kwa aliyekua mshtakiwa kufungua kesi ya kulipwa fidia ya kupotezewa muda na kuzalilishwa?