Rufaa ya mawakili inachukua muda gani?

Rufaa ya mawakili inachukua muda gani?

amaizing

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
3,617
Reaction score
12,396
habar wanasheria.nina kesi mahakaman nimedhurumiwa nyumba,wakil wangu aliiomba mahakama kuwa wakil wa upande wa pili(means walionidhuru) aondolewe na jaj alikubal ombi lile,so yule wakil alikata rufaa ili aendelee kucmamia hii kesi.toka alivyokata rufaa ni mwaka umepta kesi haijacklzwa.naomba mnijuze rufaa za mawakil znaweza kuchukua muda gan?b blecd.
 
Back
Top Bottom