Yasin21 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 667 Reaction score 402 Aug 16, 2017 #21 Sibonike said: Usipate tabu. Karia na Wambura wanafuatilia kwa ukaribu sana Click to expand... najua imekuuma sana hao jamaa kushinda kwenye uchaguzi pole sana na pia mjiandae kisaikolojia
Sibonike said: Usipate tabu. Karia na Wambura wanafuatilia kwa ukaribu sana Click to expand... najua imekuuma sana hao jamaa kushinda kwenye uchaguzi pole sana na pia mjiandae kisaikolojia
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Aug 16, 2017 #22 Yasin21 said: najua imekuuma sana hao jamaa kushinda kwenye uchaguzi pole sana na pia mjiandae kisaikolojia Click to expand... Waangalie wasije kuishia kama Rage alipokuwa FAT
Yasin21 said: najua imekuuma sana hao jamaa kushinda kwenye uchaguzi pole sana na pia mjiandae kisaikolojia Click to expand... Waangalie wasije kuishia kama Rage alipokuwa FAT
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 16, 2017 #23 wanayasubiri.............
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Aug 16, 2017 #24 Sibonike said: Hivi Ismail Amen Rage aliwaitaje wana Simba? Click to expand... Mbumbumbu FC
eddy brown JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 414 Reaction score 314 Aug 16, 2017 #25 Hivi kwenye ngao ya jamii watakubali kuwapigia makofi na kuwakaribisha mabingwa wanapo ingia kama ilivyo sheria kwa siku hio. Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwenye ngao ya jamii watakubali kuwapigia makofi na kuwakaribisha mabingwa wanapo ingia kama ilivyo sheria kwa siku hio. Sent using Jamii Forums mobile app
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,296 Reaction score 18,027 Aug 16, 2017 #26 eddy brown said: Hivi kwenye ngao ya jamii watakubali kuwapigia makofi na kuwakaribisha mabingwa wanapo ingia kama ilivyo sheria kwa siku hio. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wakicheza maana yake walishamkubali Bingwa asiye na chembe ya shaka
eddy brown said: Hivi kwenye ngao ya jamii watakubali kuwapigia makofi na kuwakaribisha mabingwa wanapo ingia kama ilivyo sheria kwa siku hio. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wakicheza maana yake walishamkubali Bingwa asiye na chembe ya shaka