Rufaa za Mitihani ya NECTA: Kesi ya mbuzi kupelekwa kwa chui

Je ile dhana ya kwamba mtu alikuwa hana uwezo mzuri darasani, ila Necta kaja kafaulu vizuri? Maajabu gan yanatokea km mtu alikuwa hana uwezo miaka miwili lakin mwisho anafaulu?
na vipi nafasi ya CA (continous assignment) katika matokeo ya mwsho ya mwanafunzi wa A level? Nauliza hivyo sababu my Ex classmate alikuwa na div 1, mpk tunamaliza 6, ila matokeo yametoka ana div.3 ya mwisho? Naomba mwongozo wenu mlio katika tasnia husika. nawasilisha.
 
Nadhani ungetumia neno fair peke yake ningekuelewa, lakini kusema accurate wakati kuna atu wanakata rufaa na kunakuwa na mabadiriko ya matokeo, si sahihi sana.
Turudi kwenye hoja. Mtoa mada anataka kiwepo chombo tofauti kitakachoshughulikia rufaa, siyo baraza lile lile lililoshahihisha. Hata mahakamani huwezi kukata rufaa ikasikilizwa na hakimu yuleyule aliyeihukumu mwanzo.
Haki ionekane kuwa inatendeka!
 
Mwanafunz akishakata rufaa,NECTA huwaandikia barua walimu kwa ajili ya re-marking,walimu huenda kusahihisha kama kawaida,wapo wanafunz ambao hufanikiwa,,,,,,,kwa mfano mwaka jana kuna mwanafunz alifel baada ya kukata rufaa kuna mwalim akaenda kusahihisha ikagundulika kuwa yule mwanafunz alikosea kuandika namba za maswal,baada ya kusahihishiwa akafaulu zaid jambo ambalo hata NECTA liliwashtua,ilimlazmu mwalim husika aandike barua kwa katibu mkuu mtendaj dr ndalichako <br />
<br />
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…