King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Habari wakuu,kuna jamaa alikuwa anatangaza CH10 long time sana nafikiri miaka ya 98 hivi alikuwa na kipindi kinaitwa MOBITEL MOST WANTED yuko wapi,sijamsoma siku nyingi anaitwa Ruff B sijaona.