King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Oct 5, 2011 #1 Habari wakuu,kuna jamaa alikuwa anatangaza CH10 long time sana nafikiri miaka ya 98 hivi alikuwa na kipindi kinaitwa MOBITEL MOST WANTED yuko wapi,sijamsoma siku nyingi anaitwa Ruff B sijaona.
Habari wakuu,kuna jamaa alikuwa anatangaza CH10 long time sana nafikiri miaka ya 98 hivi alikuwa na kipindi kinaitwa MOBITEL MOST WANTED yuko wapi,sijamsoma siku nyingi anaitwa Ruff B sijaona.
N ngwini JF-Expert Member Joined Apr 5, 2011 Posts 482 Reaction score 89 Oct 5, 2011 #2 2mechoka na promo za CHN 10
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Oct 6, 2011 #3 enzi za mwalimu!