Rufiji inastahili kuwa Mkoa

Rufiji inastahili kuwa Mkoa

Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.

**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu
Kwani bila huko rufiji kuwa mkoa wananchi hawawezi kupata maendeleo??

Hivi huko CCM vichwani mwenu mnafugaga funza nini? Hizi akili mnazitoaga wapi?

Kweli mpumzike tu!
 
Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.

**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu
Hili limeshapita. Rufiji itakuwa mkoa mwaka huu makao makuu ni Ikwiriri, mkoa utaundwa na wilaya za Mafia, Kibiti, Rufiji na Mkuranga

Ushauri wangu kwa Mchengerwa:
1. Mkoa utakaoundwa na wilaya za Kisarawe, Bagamoyo, Chalinze na Kibaha uitwe Mkoa wa Bagamoyo.

2. Mkoa utaoundwa na wilaya za Rufiji, Kibiti, Mafia na Mkuranga uitwe mkoa wa Rufiji.

Kusiwe ma mkoa unaitwa Pwani
 
Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.

**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed]

MAKAO MAKUU: Ikwiriri,
Wilaya: Mkuranga, Rufiji, Mafia na Kibiti.
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni
 
Mkuu,

Nafikiri kuna vigezo vya kupandisha hadhi wilaya/mkoa.

Kwa upande wa shughuli za kiuchumi itabebwa na viwanda (Mkuranga), Utalii (Nyerere National Park, Pori la Akiba Selous na kisiwa cha Mafia) uvuvi na kilimo (Korosho na ufuta).

Labda waimege Kilwa kutoka Lindi wairudishe kuunga juhudi.
Na kwa upande wa makao makuu ya mkoa yawe Mkuranga. Ikwiriri na vijiji vyake ibaki kuwa wilaya ya Rufiji.
 
Kwa hiyo umeona sababu ya kuanzishwa mkoa ni kwa sababu ametokea mpigania uhuru? Soma Lical Government Act inatoa vigezo vya kuanzia kijiji, mtaa, kata, manispaa, jiji, wilaya hadi mkoa.

Akili kama zako ndio matunda ya vijana wanaowaza punyeto masaa yote tu.
 
Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.

**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed]

MAKAO MAKUU: Ikwiriri,

Wilaya:
1. Mkuranga,
2. Rufiji,
3. Mafia na
4. Kibiti.
Mama mkwe ni juzi tu aliipandisha hadhi na kuwa halmashauri ya mji, Magu alipanda mbegu mbaya sana nchi hii.
 
Mkuu,

Nafikiri kuna vigezo vya kupandisha hadhi wilaya/mkoa.

Kwa upande wa shughuli za kiuchumi itabebwa na viwanda (Mkuranga), Utalii (Nyerere National Park, Pori la Akiba Selous na kisiwa cha Mafia) uvuvi na kilimo (Korosho na ufuta).

Labda waimege Kilwa kutoka Lindi wairudishe kuunga juhudi.
Na kwa upande wa makao makuu ya mkoa yawe Mkuranga. Ikwiriri na vijiji vyake ibaki kuwa wilaya ya Rufiji.
Hayo yote yatakusaidia nini wewe? Au ndo mnawaza vyeo tu?

Badala ya kuibana Serikali iweke huduma bora kwa wananchi katika maeneo yote nyie mnawaza kuanzisha mikoa na wilaya ili mpate vyeo.

Kweli ujinga ni kipaji Tanzania
 
Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.

**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed]

MAKAO MAKUU: Ikwiriri,

Wilaya:
1. Mkuranga,
2. Rufiji,
3. Mafia,
4. Kilwa,
4. Kibiti.
Mkwee ana kifua kipana sanaa.....mpe tu Mkoa yèye awe Rais wa Mkoa huo....nchi ndani ya nchi....awamu yenu hii lolote fanyeni tuuuu
 
Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.

**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed]

MAKAO MAKUU: Ikwiriri,

Wilaya:
1. Mkuranga,
2. Rufiji,
3. Mafia,
4. Kilwa,
4. Kibiti.
Siasa za hovyo

We need development na sio kuongeza costs za utawala
 
Back
Top Bottom