M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Kwani bila huko rufiji kuwa mkoa wananchi hawawezi kupata maendeleo??Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.
**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu
Wanawaza ukuu wa mkoa, wilaya, ukurugenzi na halmashauri na vyeo vingine tu.Isigawanywe Tabora kupata mikoa miwili au Morogoro eti wakigawe kile kilufiji 😁😁😁
Yenyewe sawa tu mijitu ya sisiyemu ndio mlivyo, hapo mnawaza kupewa ujumbe wa nec 🤣
Hili limeshapita. Rufiji itakuwa mkoa mwaka huu makao makuu ni Ikwiriri, mkoa utaundwa na wilaya za Mafia, Kibiti, Rufiji na MkurangaRufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.
**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu
Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a MuseveniRufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.
**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed]
MAKAO MAKUU: Ikwiriri,
Wilaya: Mkuranga, Rufiji, Mafia na Kibiti.
Sasa hii inahusiana nini na Rufiji kuwa mkoa? Hivi nyie nyumbu mko aje kweli?Kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni
Mama mkwe ni juzi tu aliipandisha hadhi na kuwa halmashauri ya mji, Magu alipanda mbegu mbaya sana nchi hii.Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.
**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed]
MAKAO MAKUU: Ikwiriri,
Wilaya:
1. Mkuranga,
2. Rufiji,
3. Mafia na
4. Kibiti.
Narudia tena kwa sasa CHADEMA inamuhitaji sana LISSU kuliko MBOWE a.k.a Museveni.Sasa hii inahusiana nini na Rufiji kuwa mkoa? Hivi nyie nyumbu mko aje kweli?
Hayo yote yatakusaidia nini wewe? Au ndo mnawaza vyeo tu?Mkuu,
Nafikiri kuna vigezo vya kupandisha hadhi wilaya/mkoa.
Kwa upande wa shughuli za kiuchumi itabebwa na viwanda (Mkuranga), Utalii (Nyerere National Park, Pori la Akiba Selous na kisiwa cha Mafia) uvuvi na kilimo (Korosho na ufuta).
Labda waimege Kilwa kutoka Lindi wairudishe kuunga juhudi.
Na kwa upande wa makao makuu ya mkoa yawe Mkuranga. Ikwiriri na vijiji vyake ibaki kuwa wilaya ya Rufiji.
Mkwee ana kifua kipana sanaa.....mpe tu Mkoa yèye awe Rais wa Mkoa huo....nchi ndani ya nchi....awamu yenu hii lolote fanyeni tuuuuRufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.
**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed]
MAKAO MAKUU: Ikwiriri,
Wilaya:
1. Mkuranga,
2. Rufiji,
3. Mafia,
4. Kilwa,
4. Kibiti.
Siasa za hovyoRufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza.
**Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed]
MAKAO MAKUU: Ikwiriri,
Wilaya:
1. Mkuranga,
2. Rufiji,
3. Mafia,
4. Kilwa,
4. Kibiti.