South Africa wanafungwa leo my predictions zinaniambia hivyo leoGame of the week itakuwa 'Samoa v Fiji'! Sio hichi ki-game cha kilaza! Mtu anafungwa 65 kwa 10 leo. Utaniambia...lol!
Nashukuru kwa kukubaliana na mimi lol!!1Ntapika ugali kwa furaha hahahaha lol
(Itatokea lakini )
nawe bana usiharibu sana
tuache tushereheekee nchi mbili za Africa ambazo zinacheza Rugby ..
(Ziko kwenye RWC)
Nway hizo nchi mbili za Pacific mmmhhhhh
kwa sasa sinto comment sana..
South Africa wanafungwa leo my predictions zinaniambia hivyo leo
ati NINI???
Yeah!! Jamaa bado wako fit ila sio kama kipindi kile but they still got the gameUliona kitu 'world champions' walimfanya Fiji? Hili kombe kuna uwezekano mkubwa likarudi huko...
Hahahaha!! Acha woga lolati NINI???