oohhhh
Jonah ameacha kucheza muda kidogo..
alipata matatizo na kidney baada ya Operation (kidney transplant)
aliweza kucheza kidogo (in & out )toka mwaka wa 2004 mpaka early 2007.
lakini baada ya hapo hakuweza kucheza tena.. He is a living legend ....