POOL B ni kundi la kifo, ARGENTINA,ENGLAND NA SCOTLAND
SOUTH AFRICA kwa sasa wamefulia si kama ilipochukua kombe hili 2007mie na wasi wasi na NEW ZEALAND, AUSTRALIA NA SOUTH AFRICA..
SOUTH AFRICA kwa sasa wamefulia si kama ilipochukua kombe hili 2007
AD kuna movie inaitwa invictus, Morgan Freeman alicheza kama Nelson Mandela inahusu mashindano ya kombe la dunia la Rugby yaliyofanyika South Africa na South Africa ikawa mabingwa. Sinema hiyo inasisimua sana jinsi ilivyoweza kuwaunganisha Wasouth Africa wa kila rangi katika kuishangilia timu yao. Kama sikosei invictus ilikuwa nominated kwenye Oscar lakini haikuambulia kitu. Kama hukuiona itafute utaipenda sana. Miye kwenye mashindano ya mwaka huu nazipa nafasi kubwa NZ, UK, South Africa na Australia.
YouTube - "Invictus" - Official Trailer [HD]
Miye nafikiri pia kuchezea nyumbani kuliwapa motivation kubwa sana na hivyo kucheza kwa ari na hivyo kuishangaza dunia pamoja na kuwa wengi hawakuipa South Africa nafasi kubwa ya kuibuka na ubingwa.
Hivi AD, kuna ranking za Rugby kama zile za FIFA zinazoonyesha ni nchi gani inachukua numero uno na kuendelea? Hawa France nao vipi? Kama sikosei miaka michache iliyopita nao walikuwa na timu nzuri sana
SOUTH AFRICA kwa sasa wamefulia si kama ilipochukua kombe hili 2007